Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:201 — Purgatory (Al-A'araf)

Wale wanao haki, wanapokaribia na wazo la shetani, hukumbuka, na hivyo wanakuwa watazamaji.

[7:200] Mara tu shetani anapokutamkia lolote, tafuta kimbilio kwa MUNGU; Yeye ni Msikiaji, Mjuzi.

[7:202] Ndugu zao huwashawishi bila kukoma waende njia potovu.