Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:21 — Purgatory (Al-A'araf)

Aliwaapia, "Ninawapa ushauri mzuri."

[7:20] Shetani aliwasemesha ili kuwafunulia miili yao, ambayo ilikuwa haionekani kwao. Alisema, "Mola wenu hakuwakatazeni kupanda mti huu isipokuwa kuwazuia msije mkawa malaika, na kufikia kuishi milele."

[7:22] Hivyo aliwadanganya kwa uwongo. Mara tu walipogusa mti, miili yao iliwadhihirikia, wakajaribu kujifunika kwa majani ya Peponi. Bwana wao aliwaita: "Je! Sikukukatazeni kula matunda ya mti huo, na kuwaonya kwamba shetani ni adui yenu mkubwa?"