Kurani 8:21 — Mali za Vita (Al-Anfal)
Usiwe kama wale wanaosema, "Tunasikia," huku hawasikii.
[8:20] Enyi mnaoamini, mt'ii MUNGU na Mtume wake, wala msimpuuze hali mnamt'ii mnaposikia.
[8:22] Viumbe mbaya zaidi machoni pa MUNGU ni viziwi na bubu, ambao hawaelewi.