Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33
Kurani 9:33 — Mkataba wa mwisho (Bara'ah)
Yeye ndiye Aliyemtuma mjumbe wake* na uongozi na dini ya kweli, na ataifanya itawale dini zote, licha ya wanaoabudu sanamu.
[9:32] Wanataka kuzima mwanga wa MUNGU kwa vinywa vyao, lakini MUNGU anasisitiza kuuimarisha mwanga wake, licha ya wakataao kuamini.
[9:34] Enyi mnao amini, viongozi wa kidini na wahubiri wengi wanachukua mali ya watu kwa njia haramu, na kuwazuia kufuata njia ya Mwenyezi Mungu. Wale wanao kusanya dhahabu na fedha, na kutowatumia katika njia ya Mwenyezi Mungu, wanaahidiwa adhabu chungu.