Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 10:46 — Yunus (Yunus)

وَإِمّا نُرِيَنَّكَ بَعضَ الَّذى نَعِدُهُم أَو نَتَوَفَّيَنَّكَ فَإِلَينا مَرجِعُهُم ثُمَّ اللَّهُ شَهيدٌ عَلىٰ ما يَفعَلونَ

Ikiwa tunakuonyesha baadhi ya (adhabu) tunayowaahidi, au tunakukomesha uhai wako kabla ya hayo, kwetu sisi ndio marejeo yao ya mwisho. MUNGU ni shahidi wa kila wanachofanya.

[10:45] Siku atakapowaita wote, watahisi kana kwamba wamekaa duniani kwa saa moja tu ya siku, ambayo walikutana. Hakika wale walio kufuru katika kukutana na MUNGU ni wenye hasara; na wakachagua kupotea.

[10:47] Kwa kila jamii, kuna mjumbe. Baada ya mjumbe wao kuja, wana hukumiwa kwa usawa, bila ya uonevu hata kidogo.