Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 10:47 — Yunus (Yunus)

Kwa kila jamii, kuna mjumbe. Baada ya mjumbe wao kuja, wana hukumiwa kwa usawa, bila ya uonevu hata kidogo.

[10:46] Ikiwa tunakuonyesha baadhi ya (adhabu) tunayowaahidi, au tunakukomesha uhai wako kabla ya hayo, kwetu sisi ndio marejeo yao ya mwisho. MUNGU ni shahidi wa kila wanachofanya.

[10:48] Wanapinga: "Lini utimizo wa unabii huu utatokea, ikiwa unasema ukweli?"