Kurani 17:36 — Watoto wa Israeli (Bani Israeli)
وَلا تَقفُ ما لَيسَ لَكَ بِهِ عِلمٌ ۚ إِنَّ السَّمعَ وَالبَصَرَ وَالفُؤادَ كُلُّ أُولٰئِكَ كانَ عَنهُ مَسـٔولًا
Hutopaswa kukubali taarifa yoyote, isipokuwa ukiithibitisha mwenyewe. Nimekupa uwezo wa kusikia, kuona, na akili, na wewe unahusika kuvitumia.
[17:35] Utatoa kipimo kamili unapofanya biashara, na kupima kwa usawa. Hii ni bora zaidi na ni ya haki zaidi.
[17:37] Hutatembea kwa kiburi duniani - hauwezi kuchimba kupitia ardhi, wala huwezi kuwa mrefu kama milima.