Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:14 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

Wawapo na waumini husema, "Tunaamini," lakini wakiwa peke yao na mashetani yao husema, "Tuko pamoja nanyi; tulikuwa tunacheza tu."

[2:13] Wakiambiwa, "Aminini kama walivyo amini watu wengine," husema, "Je, tutamini kama wapumbavu walivyo amini?" Kwa hakika, wao ndio wapumbavu, lakini hawajui.

[2:15] MUNGU anawadhihaki, na kuwaongoza katika maasi yao, wakiteleza.