Kurani 2:210 — Ng'ombe (Al-Baqarah)
Je, wanangojea mpaka MUNGU Mwenyewe aje kwao katika mawingu makubwa pamoja na malaika? Wakati huo ndipo mambo yote yatakapomalizika, na kila kitu kitarejeshwa kwa MUNGU.
[2:209] Ikiwa utarudi nyuma, baada ya dalili wazi zimefikia kwako, basi tambua kwamba MUNGU ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi.
[2:211] Waulizeni Wana wa Israeli ni miujiza mingapi mikubwa tume waonyesha! Kwa wale wanaopuuza baraka zilizotolewa kwao na MUNGU, MUNGU ni mkali sana katika kulipiza kisasi.