Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:211 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

سَل بَنى إِسرٰءيلَ كَم ءاتَينٰهُم مِن ءايَةٍ بَيِّنَةٍ ۗ وَمَن يُبَدِّل نِعمَةَ اللَّهِ مِن بَعدِ ما جاءَتهُ فَإِنَّ اللَّهَ شَديدُ العِقابِ

Waulizeni Wana wa Israeli ni miujiza mingapi mikubwa tume waonyesha! Kwa wale wanaopuuza baraka zilizotolewa kwao na MUNGU, MUNGU ni mkali sana katika kulipiza kisasi.

[2:210] Je, wanangojea mpaka MUNGU Mwenyewe aje kwao katika mawingu makubwa pamoja na malaika? Wakati huo ndipo mambo yote yatakapomalizika, na kila kitu kitarejeshwa kwa MUNGU.

[2:212] Maisha haya ya kidunia yamepambwa machoni mwa wakatae, na wanacheka wale wanaoamini. Lakini wenye haki watakuwa mbali sana nao Siku ya Kiyama. MUNGU anabariki yeyote apendaye bila mipaka.