Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:269 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

Yeye humpa hekima yule amtakaye, na yeyote apataye hekima, amepata neema kubwa. Ni wale wenye akili pekee watakaotambua.

[2:268] Shetani anakuhidi umaskini na anakutaka ufanye maovu, wakati MUNGU anakuhidi msamaha kutoka kwake na neema. MUNGU ni Mwingi wa fadhila, Mjuzi wa yote.

[2:270] Msaada wowote utakaotoa au ahadi yoyote ya kutoa misaada utakayoitimiza, MUNGU anajua kabisa. Kuhusu waovu, hawatakuwa na msaada wowote.