Kurani 2:4 — Ng'ombe (Al-Baqarah)
Na wanaamini yale yaliyoteremshwa kwako, na yale yaliyoteremshwa kabla yako, na kuhusu Akhera, wana uhakika kamili.
[2:3] wanaoamini yasiyoonekana, hushika Sala, na katika riziki yetu kwao, hutoa sadaka.
[2:5] Hawa waniongozwa na Mola wao; hawa ndio washindi.