Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:5 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

Hawa waniongozwa na Mola wao; hawa ndio washindi.

[2:4] Na wanaamini yale yaliyoteremshwa kwako, na yale yaliyoteremshwa kabla yako, na kuhusu Akhera, wana uhakika kamili.

[2:6] Kwa wale ambao hawana imani, ni sawa kwao; uwawaonye au usiwaonye, hawawezi kuamini.