Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:6 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

Kwa wale ambao hawana imani, ni sawa kwao; uwawaonye au usiwaonye, hawawezi kuamini.

[2:5] Hawa waniongozwa na Mola wao; hawa ndio washindi.

[2:7] MUNGU huwafunga akili zao na kusikia kwao, na macho yao hufunikwa. Wamepatwa na adhabu kali.