Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:7 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

MUNGU huwafunga akili zao na kusikia kwao, na macho yao hufunikwa. Wamepatwa na adhabu kali.

[2:6] Kwa wale ambao hawana imani, ni sawa kwao; uwawaonye au usiwaonye, hawawezi kuamini.

[2:8] Kuna wale wanaosema, "Tunamuamini MUNGU na Siku ya Mwisho," huku hawana imani.