Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:176 — Waamramu (Ali-'Imran)

Usiwe na huzuni kwa wale wanaoharakisha kukataa imani. Hawamuumizi MUNGU hata kidogo. Badala yake, MUNGU ameona watakuwa hawana sehemu yoyote Akhera. Wamejiletea adhabu kali.

[3:175] Ni mfumo wa shetani kuweka hofu kwa wafuasi wake. Usiwaogope wao bali niogope Mimi badala yake, ikiwa mnaamini.

[3:177] Wale wanaochagua kukataa imani badala ya kuamini, hawamuumizi MUNGU hata kidogo; wamejiletea adhabu chungu.