Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:178 — Waamramu (Ali-'Imran)

Wacha wasioamini wasidhani kwamba tunawaongoza kwa manufaa yao wenyewe. Tunawaongoza ili kuthibitisha uovu wao tu. Wamejiletea adhabu ya kudhalilisha.

[3:177] Wale wanaochagua kukataa imani badala ya kuamini, hawamuumizi MUNGU hata kidogo; wamejiletea adhabu chungu.

[3:179] MUNGU hatawaacha waumini kama mlivyo, bila kutofautisha baina ya mbaya na mwema. Wala MUNGU hakufunulii mambo ya baadaye, ila MUNGU humpa ujuzi huo yule amtakaye miongoni mwa Mitume wake. Kwa hiyo, muweni na imani kwa MUNGU na Mitume wake. Mkiamini na kuishi maisha ya haki, mtapata malipo makubwa.