Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:21 — Waamramu (Ali-'Imran)

Wale waliyokataa maonyo ya MUNGU, na kuua manabii kwa dhuluma, na kuua wale waliokuwa wakieneza haki miongoni mwa watu, waahidi adhabu chungu kwao.

[3:20] Kama wakikujadili, sema, "Mimi nimejisalimisha tu kwa MUNGU; mimi na wale wanaonifuata." Wapelekee hawa waliopewa maandiko, pamoja na wasiopewa, ujumbe huu, "Je, mtajisalimisha?" Wakiyasalimisha, basi wameongoka, lakini wakikataa, jukumu lako ni kufikisha ujumbe huu tu. MUNGU ni Mwenye kuwaona watu wote.

[3:22] Kazi zao zimebatilishwa, hapa duniani na Akhera, na hawatakuwa na wasaidizi.