Kurani 3:22 — Waamramu (Ali-'Imran)
Kazi zao zimebatilishwa, hapa duniani na Akhera, na hawatakuwa na wasaidizi.
[3:21] Wale waliyokataa maonyo ya MUNGU, na kuua manabii kwa dhuluma, na kuua wale waliokuwa wakieneza haki miongoni mwa watu, waahidi adhabu chungu kwao.
[3:23] Je, umewaona wale waliopewa sehemu ya maandiko, na jinsi wanavyoalikwa kuyazingatia maandiko haya ya MUNGU, na kuyatumia katika maisha yao wenyewe, kisha baadhi yao wanageuka kwa kujiepusha?