Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:69 — Waamramu (Ali-'Imran)

Baadhi ya wafuasi wa maandiko wanataka kukupotosha, lakini wanajipotosha wenyewe bila kufahamu.

[3:68] Watu wenye thamani kuu kwa Ibrahimu ni wale waliomfuata, na nabii huyu, na wale wanaoamini. MUNGU ndiye Bwana na Mtawala wa waumini.

[3:70] Enyi wafuasi wa maandiko, mbona mnakataa maonyesho haya ya MUNGU ingawa mnashuhudia (kwamba hii ni kweli)?