Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:70 — Waamramu (Ali-'Imran)

Enyi wafuasi wa maandiko, mbona mnakataa maonyesho haya ya MUNGU ingawa mnashuhudia (kwamba hii ni kweli)?

[3:69] Baadhi ya wafuasi wa maandiko wanataka kukupotosha, lakini wanajipotosha wenyewe bila kufahamu.

[3:71] Enyi wafuasi wa maandiko, kwa nini mnachanganya ukweli na uwongo, na kuficha ukweli, kwa kujua?