Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:71 — Waamramu (Ali-'Imran)

Enyi wafuasi wa maandiko, kwa nini mnachanganya ukweli na uwongo, na kuficha ukweli, kwa kujua?

[3:70] Enyi wafuasi wa maandiko, mbona mnakataa maonyesho haya ya MUNGU ingawa mnashuhudia (kwamba hii ni kweli)?

[3:72] Baadhi ya wafuasi wa maandiko husema, "Amini yaliyoteremshwa kwa waumini asubuhi, na yakatae jioni; labda siku moja watageuka."