Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 35:45 — Mwanzilishi (Faater)

Ikiwa MUNGU angeadhibu watu kwa dhambi zao, hangeacha kiumbe yeyote duniani. Lakini huwapa muda maalum. Mara muda wao unapokwisha, basi MUNGU ni Mwenye kuwaona waja wake.

[35:44] Je! Hawajatembea duniani na kushuhudia matokeo kwa wale waliowatangulia? Walikuwa hata wenye nguvu zaidi kuliko wao. Hakuna kitu kinachoweza kufichika kutoka kwa MUNGU mbinguni, wala duniani. Yeye ni Mjuzi wa yote, Mwenye Nguvu zote.