Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:46 — Wanawake (Al-Nesa')

Miongoni mwa wale ambao ni Wayahudi, baadhi yao wanapotosha maneno zaidi ya ukweli, na husema, "Tunasikia, lakini tunakaidi," na "Maneno yako yanapotea masikioni mwetu," na "Raa'ena* (kuwa mchungaji wetu)," huku wakipotosha lugha zao kukejeli dini. Wangalipaswa kusema, "Tunasikia, na tunatii," na "Tunasikia wewe," na "Unzurna (tulinda)," ingekuwa bora kwao, na zaidi ya haki. Badala yake, wamejiletea laana kutoka kwa MUNGU kutokana na ukafiri wao. Kwa hiyo, wengi wao hawawezi kuamini.

[4:45] MUNGU anajua vyema ni nani maadui zako. MUNGU ndiye Bwana na Mtawala pekee. MUNGU ndiye Msaidizi pekee.

[4:47] Enyi mlio pokea maandiko, ni lazima miamini yale tunayo yafunua hapa, yakithibitisha yale mliyo nayo, kabla hatujawafukuza baadhi ya nyuso kwenda uhamishoni, au kuwaadhibu kama tulivyowaadhibu waliotukufuru Sabato. Amri ya Mwenyezi Mungu itatimizwa.