Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:86 — Wanawake (Al-Nesa')

وَإِذا حُيّيتُم بِتَحِيَّةٍ فَحَيّوا بِأَحسَنَ مِنها أَو رُدّوها ۗ إِنَّ اللَّهَ كانَ عَلىٰ كُلِّ شَيءٍ حَسيبًا

Ukapokeapo salamu, jibu kwa salamu bora au angalau ile sawa. MUNGU huhesabu mambo yote.

[4:85] Yeyote anayesuluhisha tendo jema hupokea sehemu ya sifa zake, na yeyote anayesuluhisha kazi mbaya, hupata sehemu yake. MUNGU anadhibiti vitu vyote.

[4:87] MUNGU: hakuna mungu ila Yeye. Atakuiteni bila shaka Siku ya Kiyama—siku isiyoweza kuepukika. Ni nani mwenye hadithi sahihi zaidi kuliko ya MUNGU?