Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:87 — Wanawake (Al-Nesa')

اللَّهُ لا إِلٰهَ إِلّا هُوَ ۚ لَيَجمَعَنَّكُم إِلىٰ يَومِ القِيٰمَةِ لا رَيبَ فيهِ ۗ وَمَن أَصدَقُ مِنَ اللَّهِ حَديثًا

MUNGU: hakuna mungu ila Yeye. Atakuiteni bila shaka Siku ya Kiyama—siku isiyoweza kuepukika. Ni nani mwenye hadithi sahihi zaidi kuliko ya MUNGU?

[4:86] Ukapokeapo salamu, jibu kwa salamu bora au angalau ile sawa. MUNGU huhesabu mambo yote.

[4:88] Kwa nini mnapaswa kugawanyika katika makundi mawili kuhusu wanafiki (miongoni mwenu)? MUNGU ndiye aliye waadhibu kwa sababu ya tabia zao wenyewe. Je, mnataka kuwaongoza wale waliopotea na MUNGU? Yeyote ambaye MUNGU amempoteza, kamwe hamtapata njia ya kumwongoza.