Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:99 — Wanawake (Al-Nesa')

Haya yanaweza kusamehewa na MUNGU. MUNGU ni Mwepesi wa Kusamehe, Mwenye Kusamehe.

[4:98] Wameachwa huru ni wanaume dhaifu, wanawake, na watoto ambao hawana nguvu wala njia za kutafuta njia ya kutokea.

[4:100] Yeyote anaye hamia katika njia ya MUNGU atapata baraka kubwa na utajiri duniani. Yeyote anayeacha nyumba yake, kuhama kwa MUNGU na Mtume wake, kisha kifo kinamfikia, malipo yake yamehifadhiwa na MUNGU. MUNGU ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.