Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 48:1 — Ushindi (Al-Fatt-h)

Tumekujalia (Ewe Mtume) ushindi mkubwa.*

[48:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[48:2] Ambapo MUNGU anasamehe dhambi zako za zamani, pamoja na dhambi za baadaye, na kuzitimiza baraka zake juu yako, na kukuelekeza katika njia iliyonyooka.