Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 48:2 — Ushindi (Al-Fatt-h)

Ambapo MUNGU anasamehe dhambi zako za zamani, pamoja na dhambi za baadaye, na kuzitimiza baraka zake juu yako, na kukuelekeza katika njia iliyonyooka.

[48:1] Tumekujalia (Ewe Mtume) ushindi mkubwa.*

[48:3] Kwa kuongezea, MUNGU atakusaidia kwa msaada usiobadilika.