Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 5:115 — Karamu (Al-Ma'edah)

قالَ اللَّهُ إِنّى مُنَزِّلُها عَلَيكُم ۖ فَمَن يَكفُر بَعدُ مِنكُم فَإِنّى أُعَذِّبُهُ عَذابًا لا أُعَذِّبُهُ أَحَدًا مِنَ العٰلَمينَ

MUNGU akasema, "Ninaituma chini. Mtu yeyote miongoni mwenu atakayekuwa kafiri baada ya hii, nitamuadhibu kama sikuwahi kuwaadhibu wengine yeyote."*

[5:114] Akasema Yesu, mwana wa Maryamu, "Mungu wetu, Bwana wetu, tupe chakula kutoka mbinguni. Kifanye kiwe cha kutosha kwa kila mmoja wetu, na ishara kutoka kwako. Tutunze; Wewe ndiwe Mtoaji bora zaidi."

[5:116] MUNGU atasema, "Ewe Yesu, mwana wa Mariamu,* je, uliwaambia watu, 'Nifanye mimi na mama yangu sanamu pamoja na MUNGU?' " Atasema, "Utukufu uwe kwako. Sikuweza kusema jambo lisilokuwa la kweli. Kama ningelisema, ungejua tayari. Wajua mawazo yangu, wakati mimi siyajui mawazo yako. Wajua siri zote.