Kurani 5:116 — Karamu (Al-Ma'edah)
وَإِذ قالَ اللَّهُ يٰعيسَى ابنَ مَريَمَ ءَأَنتَ قُلتَ لِلنّاسِ اتَّخِذونى وَأُمِّىَ إِلٰهَينِ مِن دونِ اللَّهِ ۖ قالَ سُبحٰنَكَ ما يَكونُ لى أَن أَقولَ ما لَيسَ لى بِحَقٍّ ۚ إِن كُنتُ قُلتُهُ فَقَد عَلِمتَهُ ۚ تَعلَمُ ما فى نَفسى وَلا أَعلَمُ ما فى نَفسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنتَ عَلّٰمُ الغُيوبِ
MUNGU atasema, "Ewe Yesu, mwana wa Mariamu,* je, uliwaambia watu, 'Nifanye mimi na mama yangu sanamu pamoja na MUNGU?' " Atasema, "Utukufu uwe kwako. Sikuweza kusema jambo lisilokuwa la kweli. Kama ningelisema, ungejua tayari. Wajua mawazo yangu, wakati mimi siyajui mawazo yako. Wajua siri zote.
[5:115] MUNGU akasema, "Ninaituma chini. Mtu yeyote miongoni mwenu atakayekuwa kafiri baada ya hii, nitamuadhibu kama sikuwahi kuwaadhibu wengine yeyote."*
[5:117] "Nilawaambia tu yale uliyoniamuru niyaseme, kwamba: 'Mnamtumikia MUNGU, Bwana wangu na Bwana wenu.' Nilikuwa shahidi miongoni mwao kwa muda wote niliokuwa nao. Ulipomaliza maisha yangu duniani, Wewe ukawa Mchunguzi juu yao. Wewe unashuhudia mambo yote."