Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:75 — Purgatory (Al-A'araf)

Viongozi wenye kiburi miongoni mwa watu wake waliwaambia watu wa kawaida waliomwamini, "Vipi mnajua kwamba Sãleh amepelekwa na Bwana wake?" Wakajibu, "Ujumbe aliouleta umetufanya tuwe waumini."

[7:74] "Kumbuka kwamba Aliwafanya ninyi muwe warithi baada ya 'Ãd, na kuwaweka katika ardhi, mkiunda majumba katika mabonde yake, na kuchonga makazi kutoka milimani mwake. Mtakumbuka baraka za Mwenyezi Mungu, wala msitembee katika ardhi kwa ufisadi."

[7:76] Wakaidi walisema, "Hatunaamini katika unayoyaamini."