Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:76 — Purgatory (Al-A'araf)

قالَ الَّذينَ استَكبَروا إِنّا بِالَّذى ءامَنتُم بِهِ كٰفِرونَ

Wakaidi walisema, "Hatunaamini katika unayoyaamini."

[7:75] Viongozi wenye kiburi miongoni mwa watu wake waliwaambia watu wa kawaida waliomwamini, "Vipi mnajua kwamba Sãleh amepelekwa na Bwana wake?" Wakajibu, "Ujumbe aliouleta umetufanya tuwe waumini."

[7:77] Kisha wakamchinja ngamia, wakapinga amri ya Mola wao, na kusema, "Ewe Saleh, leta adhabu unayotuahidi, ikiwa kweli wewe ni mjumbe."