Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:95 — Purgatory (Al-A'araf)

Kisha tukabadilisha amani na ustawi mahali pa shida ile. Lakini, ole wao, wakawa wamepumbazika na kusema, "Walikuwa wazazi wetu waliopitia shida kabla ya ustawi." Kwa hivyo, tuliwaadhibu ghafla wasipo tarajia.

[7:94] Tunapowatuma nabii kwa jamii yoyote, huwaathiri watu wake kwa shida na dhiki, ili waweze kuomba msaada.

[7:96] Wangelikuwa watu wa jamii hizo wangeamini na kuwa wema, tunge wabariki kwa neema kutoka mbinguni na ardhini. Lakini walipochagua kutokua na imani, tuliwaadhibu kwa yale waliyoyachuma.