Kurani 7:96 — Purgatory (Al-A'araf)
وَلَو أَنَّ أَهلَ القُرىٰ ءامَنوا وَاتَّقَوا لَفَتَحنا عَلَيهِم بَرَكٰتٍ مِنَ السَّماءِ وَالأَرضِ وَلٰكِن كَذَّبوا فَأَخَذنٰهُم بِما كانوا يَكسِبونَ
Wangelikuwa watu wa jamii hizo wangeamini na kuwa wema, tunge wabariki kwa neema kutoka mbinguni na ardhini. Lakini walipochagua kutokua na imani, tuliwaadhibu kwa yale waliyoyachuma.
[7:95] Kisha tukabadilisha amani na ustawi mahali pa shida ile. Lakini, ole wao, wakawa wamepumbazika na kusema, "Walikuwa wazazi wetu waliopitia shida kabla ya ustawi." Kwa hivyo, tuliwaadhibu ghafla wasipo tarajia.
[7:97] Je jamii za sasa zimethibitisha kwamba kulipiza kisasi kwetu hakitawafikia usiku wanapolala?