Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:97 — Purgatory (Al-A'araf)

Je jamii za sasa zimethibitisha kwamba kulipiza kisasi kwetu hakitawafikia usiku wanapolala?

[7:96] Wangelikuwa watu wa jamii hizo wangeamini na kuwa wema, tunge wabariki kwa neema kutoka mbinguni na ardhini. Lakini walipochagua kutokua na imani, tuliwaadhibu kwa yale waliyoyachuma.

[7:98] Je, watu wa jamii za leo wamehakikisha kwamba malipo yetu hayatawafikia mchana wanapojifurahisha?