Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 8:62 — Mali za Vita (Al-Anfal)

Kama wanataka kukudanganya, basi MUNGU atakutosha. Atakusaidia kwa msaada wake, na pamoja na waumini.

[8:61] Ikiwa wataelekea kwenye amani, basi nawe fanya hivyo, na weka imani yako kwa MUNGU. Yeye ni Msikilizaji, Mjuzi.

[8:63] Amewapatanisha nyoyo (za waumini). Lau ungeitumia mali yote duniani, usingeweza kupatanisha nyoyo zao. Lakini MUNGU aliwapatanisha. Yeye ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi.