Kurani 8:63 — Mali za Vita (Al-Anfal)
Amewapatanisha nyoyo (za waumini). Lau ungeitumia mali yote duniani, usingeweza kupatanisha nyoyo zao. Lakini MUNGU aliwapatanisha. Yeye ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi.
[8:62] Kama wanataka kukudanganya, basi MUNGU atakutosha. Atakusaidia kwa msaada wake, na pamoja na waumini.
[8:64] Ewe nabii, Mwenyezi Mungu na waumini waliokufuata wanakutosha.