Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 2:273 — Ng'ombe (Al-Baqarah)

لِلفُقَراءِ الَّذينَ أُحصِروا فى سَبيلِ اللَّهِ لا يَستَطيعونَ ضَربًا فِى الأَرضِ يَحسَبُهُمُ الجاهِلُ أَغنِياءَ مِنَ التَّعَفُّفِ تَعرِفُهُم بِسيمٰهُم لا يَسـَٔلونَ النّاسَ إِلحافًا ۗ وَما تُنفِقوا مِن خَيرٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَليمٌ

Sadaka itakwenda kwa maskini wanaoteseka kwa ajili ya MUNGU, wasioweza kuhamia. Wajinga wanaweza kufikiri kuwa ni matajiri, kutokana na hadhi yao. Lakini unaweza kuwatambua kwa ishara fulani; kamwe hawalii watu kwa ukaidi. Utakavyotoa sadaka, MUNGU anajua kabisa.

[2:272] Hauwajibiki kwa kuongoza yeyote. MUNGU ndiye pekee anayeongoza yeyote anayechagua (kuongozwa). Msaada wowote unao toa ni kwa manufaa yako mwenyewe. Msaada wowote unao toa ni kwa ajili ya MUNGU. Msaada wowote unao toa utalipwa kwako, bila ya dhulma hata kidogo.

[2:274] Wale wanaotoa sadaka usiku na mchana, kwa siri na hadharani, watapokea malipo yao kutoka kwa Mola wao; hawatakuwa na hofu wala huzuni.